FREE E-BOOK

Habari rafiki; karibu ujipatie kitabu hiki bure kabisa na ujufunze jinsi ya kutumia mtandao kujiongezea kipato. Tafadhari bonyeza hapa kupata kitabu hicho. DOWNLOAD ASANTE.

SEMINAR YA JINSI YA UTENGENEZAJI WA BIDHAA ZA VIWANDANI. 

Habari rafiki na mdau wa maendeleo na msomaji wangu mzuri,  wiki iliyopita nilitangaza seminar itakayoendeshwa online(Whatsapp)  inayohusu JINSI YA UTENGENEZAJI WA BIDHAA ZA VIWANDANI HATUA KWA HATUA kama vile sabuni za mche,  sabuni za maji,  diafectant(dawa za chooni) n.k,  seminar hiyo inaanza tar 02/12/2016, ni kesho tu,  unaweza kujiunga kama utahitaji kujiunga na seminar hiyo,…

​MAMBO YA KUFANYA MWEZI HUU  WA DECEMBA 

Habari yako ndugu msomaji wangu usiyechoka kufuatilia Makala zangu. Hongera kuingia mwezi mpya! Naamini toka umeanza kufuatilia makala zangu tangu mwezi wa December mwaka  2015 au hata kama hukuanza mwezi huo umepata vitu walau vitakavyobadili maisha yako siku za usoni kama utavifanyia kazi .Nikwambie ukweli kuwa kusoma tu haitoshi lakini kuyafanyia kazi unayoyasoma ndilo jambo…

HIVI NDIVYO NJAA INAVYOWEZA KUKUSUKUMA KUFIKIA MAFANIKIO NA JINSI INAVYOWEZA KUKUZUIA KUFIKIA MAFANIKIO

​Karibu tena msomaji wa SHULE TANZANIA kwenye kipengele hiki cha ushsuri ambapo unapata makala yenye ushauri kwa watu wote.  Leo tutaona ni jinsi gani njaa inaweza kukusukuma kufikia mafanikio na pia ni jinsi gani njaa inaweza kukuzuia kufikia mafanikio. Tunaishi kwenye zama za taarifa ambapo wenye taarifa sahihi ndio wanaopata mafanikio makubwa kwenye jambo lolote wanalofanya. Hivyo kama bado umekariri kuishi…

BINTI NA MAAMUZI MAGUMU YA KUIGWA. 

Habari rafiki,  nina imani unaendelea vizuri na mapambano ya kuboresha maisha,  nikutie moyo tu uendelee hivohivo ipo siku Mungu atajibu.  Kama kawaida yangu kukuletea makala za kukutia moyo kila siku leo nakuletea hii ya huyu dada.  Nilivutiwa sana na huyu dada na nikapata msukumo wa kuandika hili.  Anaitwa Asha,  anaishi Dar es Salaam  ni mhitimu…

KAZI: FAHAMU JUU YA MASWALI 15 YA INTERVIEW NA MAJIBU YAKE. 

Habari rafiki mpenda maendeleo,  nina imani unaendelea vizuri na harakati za kuboresha maisha yako.  Kutokana na wimbi la watu wengi hasa vijana kukosa ajira katika sekta mbalimbali si kwamba kazi hazipo ila wakati mwingine tunashindwa kushindana katika soko hilo la ajira.  Moja ya vitu vikubwa sana vinavyosababisha mtu kushindwa kupata kazi hata kama ana cheti…

HII NDIO NGUZO YAKO, IISHI

“I watched a local football match in a school playing ground. As I sat down, I asked one of the boys what the score was. With a smile, he replied; “They are leading us 3-0” ! And I said, REALLY!! I have to say you don’t look discouraged. “Discouraged?” the boy asked with a puzzled…

KITABU: SKILLS IN PUBLIC SPEAKING by Mwl.  Pius Justus Muliriye

Habari mdau wa elimu Tanzania na msomaji wangu wa ShuleTanzania,  natumai ni mzima wa afya kabisa.  Napenda nitumie fursa hii kumshukuru Mungu kwa kunisaidia katika kipindi chote hicho nilipokuwa naandika kitabu changu cha tatu (3).   Kitabu hicho kama nilivokuahidi kinaitwa “SKILLS IN PUBLIC SPEAKING”.  Kitabu hiki kimelenga kuelimisha wale wote waliokuwa na ndoto ya kuwa…

CHANGE YOUR THINKING CHANGE YOUR LIFE. 

KITABU; Change Your Thinking, Change Your Life (Badili Fikra Zako, Ubadili Maisha Yako). Karibu katika uchambuzi wetu wa kitabu cha leo.  Kila mmoja wetu anapenda maisha yake yabadilike na kuwa bora zaidi.Hakuna anayependa kuendelea kuwa pale alipo kwa sasa.Tunapenda kwenda mbele zaidi ili tuweze kufikia mafanikio makubwa na kuwa na maisha yaliyo bora. Lakini pamoja…